moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,085
- 2,889
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.
Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda.
Mahusiano yanavyoendelea wengine hufanikiwa kupata mtoto au watoto lakini ndani ya mahusiano wakawa hawaaminiani kiasi kwamba wanachukua maamuzi yakwenda kupima DNA na matokeo yake ndoa nyingi zinavunjika sasa katika watoto sita unakuta wote ni wako au wakwako wawili na inauma zaidi pale unapokuta hakuna hata mtoto mmoja ambae ni wako.
Wengi wao hupata msongo wa mawazo hupelekea kujiua,kupata stroke,kudhuru wale watoto,kumdhuru mkewe n.k
Ukiona uko kwenye mahusiano Mungu amewajaalia watoto basi usije enda kupima DNA Lea watoto wote ni wako hao ndio watakubeba wewe Siku moja usiyoijua
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.