mim ilikuwa ivi, nilikutana na i phone 4 ikiwa ndan ya boksi mpyaa inauzwa lak 2 na 50 na bahant nzur nilikuwa nayo nkaikagua pale kwa mbwembwe nkalipa haraka harak nkasepa ....kufika home kuangalia internal memory kitu kna soma kb .qwality ya kioon n kama kna maziwa iv sio bkack nkiingia fb kitu chafu nkienda kweny net naambie memory not enough nilichoka.hela ikawa imeenda ivo.
wapo weng wamekamatika sana.
haya ni mamb ya kuangalia kabla ya kuchukua simu mpya
1.internal memory
2.qwality ya camera
3.Unapo washa copy hulet jina jngine mfano kama simu n htc ama sumsung itakuandkia androil,ama jina la ajbu ajbu t
4.huwa na vioo vye qwality ndogo
ZINGINE WENYE UJUZI WATAONGEZEA kulingana na uzoefu wa aina ya simu
kwa nin umeuliza ivo@mtanganyika wa kweli
kwa nin umeuliza ivo@mtanganyika wa kweli
Mkuu inaelekea jambo hilo unalikumbuka mno. Pia linakuchoma moyoni...... Hiyo inaitwa KARIBU MJINI.
nimekuwa nkiona kwenye jukwaa la matangazo mtu anaandika anauza copy ya samsung na bado wat wananunua
pia kuna mdau humu alisha wah kuulizia internal memory ya i phone 6 jibu rahs alilo lipata ile ilikuwa fake maana ilikuwa na gb ndogo. sio wote wanao weza kutambua org na copy
nalikumbuka sana mkuu na jana nimekutana na mdada kajichanganya kweny htc one copy kapgwa laki 7 kitu kipya tko kwenye gar anaomb nimsaidie kumuunga insta .ile nazma simu kuwasha ikaleta android na maua maua badala ya log ya htc .sm ilikuwa inaonesh 16gb ila hata kuingia play store inagoma inaandka not enough memory niliumia sababu amelizwa pesa ming