walio soma muhimbili kama coz hiyo inapatikana vipi , gharama zao , kwa mwaka, na endapo physics una D " PCB" waweza kusoma coz hiyo huku uki resit somo?
walio soma muhimbili kama coz hiyo inapatikana vipi , gharama zao , kwa mwaka, na endapo physics una D " PCB" waweza kusoma coz hiyo huku uki resit somo?
Clinical Officer maana yake ni Daktari msaidizi ila huyu anakuwa anafanya kazi katika vituo vya afya, hasa vya vijijini, hii kozi ili anzishwa kwa sababu tu ya upungufu wa madktari ,
Muhimbili Hakuna CO ndugu pale Kuna MD , kama unataka kusoma co nenda kibaha college, mafinga clinical Officer , hivyo navyojua vinatoa Co kama unataka kusoma mkuu