Walio single wote hawana furaha 100%

Jamhuri ya vijana wa hovyo, Ccm itatawala kwa miaka mingi ijayo.
 
Mwanaume mwenzetu amewekeza kuchunguza furaha ya mwanamke aliye single.

Dunia inakimbia kwa speed sana
Huyo huyo unakuta hajalipa kodi ya nyumba anakimbizana na mama mwenye nyumba.

Bado huyo huyo analalamika tozo za mama ati nae ana furaha
 
Huyo huyo unakuta hajalipa kodi ya nyumba anakimbizana na mama mwenye nyumba.

Bado huyo huyo analalamika tozo za mama ati nae ana furaha
Tuna wagonjwa wemgi wa akili mitaani kuliko tunaowaona.

Huyu mtu anaijua furaha kweli huyu? Labda mwenzetu akipewa papuchi ndo furaha yake inatimia.

Gadem sana
 
Furaha siyo mchezo, Watanzania wote tuna sinoni.
Asilimia kubwa yes.
Hata walio katikati ya ulinzi mzito ndo wenye sononi kuliko sisi wa mtaani. Wanahofia anytime tunaweza kuzinduka usingizini na wao wakaenda kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…