Kati ya walionacho na wasiokuwa nacho.. mwenye chuki na mwenzie ni MWENYE NACHO.. MWENYE NACHO daima hataki asiyekuwa NACHO awe nacho kwa kua..msingi mkubwa wa wenye NACHO ni UNYONYAJI..!
ILA ASIYE KUWA NACHO yeye anajua mwenye nacho kapewa na Mungu..!

Ambae hana anasema aliye nacho kapewa na Mungu !! Kama wewe ni mcha Mungu futa hiyo kauli Mungu hana upendeleo . Walio nacho ni maujanjaujanja tu ndio maana Mungu kawakataa katika ufalme wake . We acha tu!! tena maujanja ya aibu
Sure "... lakini pia wasio nacho huwa wanatamani kuona mwenye nacho akifilisika ili wamcheke".... badala yakukaa nakutafuta maarifa yatakayo wasaidia kuweza kumfikia alipo mwenye nacho