Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Tulio nje tunafuraha zaidi mkuu, hawa waliopo kwenye ndoa kuna siku unaweza kupishana nao wanaongea wenyewe utafikiri kuna mizimu wanasema nao kumbe stress za mama chanja nyumbaniWadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya hayo huweza kuwa satisfied na kufurahia zaid mapenzi?
Karibun Tujadili.
It depends on your age, na majukumu yaliko mbele yakoWadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya hayo huweza kuwa satisfied na kufurahia zaid mapenzi?
Karibun Tujadili.
Tulio nje tunafuraha zaidi mkuu, hawa waliopo kwenye ndoa kuna siku unaweza kupishana nao wanaongea wenyewe utafikiri kuna mizimu wanasema nao kumbe stress za mama chanja nyumbani
It depends on your age, na majukumu yaliko mbele yako
Nje kuna Raha bhana ata ukikosa euro kwa siku unajua hakuna mtu atakaekusumbuaZero IQ hta walionje wanakuwa na stress bhan sio waliondan tu. [emoji23]
Walio kwenye ndoa wengi wanatamani kutoka na wasio kwenye ndoa wengi wanatamani kuingia kwahiyo kote kuna furaha na kote kuna huzuniWadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya hayo huweza kuwa satisfied na kufurahia zaid mapenzi?
Karibun Tujadili.
Furaha ni jinsi mnavoitengeneza nyie wenyewe(kwa wenye mahusiano)...ndoa sio source ya furaha na kuwa nje ya ndoa sio source ya furaha vilevile..unaweza kuwa kwenye ndoa ukawa super happy and vice versa.
Sure ts dependNO PERFECT answer...the only answer is IT DEPENDS