Walio karibu na Dkt. Posi wamshauri!

Walio karibu na Dkt. Posi wamshauri!

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,754
Ni solicitor general. awali aliteuliwa akavuruga ofisi, akawa anahamisha alioona wanamzidi uwezo na uzoefu kazini, Magufuli akajajua alilishwa tango pori, akatumbua. Ofisi kama hizo kinachomatter ni "experience ya practice", ukiona huna, linda na jali maslahi ya wale unaowaongoza wenye experience ili wakufanyie kazi wewe upate sifa au credit. usiwawinde, na usiwaone maadui. Mawakili manguli kipindi chake walihamia private.

Yeye hana experience hasa ya practice, wengi wa aliokuwa amewahamisha kabla ya kutumbuliwa walirudishwa manake ofisi ilikuwa inaenda kufa bila wazoefu.

Kachukueni ushauri kwa Jaji Malata, mumpelekee huyu kijana, ili pengine adumu kwenye hiyo ofisi na walio chini yake watoe ushirikiano. simchukii,namwambia kwa kumtakia mema.
 
Back
Top Bottom