Mayor Quimby JF-Expert Member Joined Mar 13, 2021 Posts 6,750 Reaction score 14,491 Aug 8, 2025 #1 Usitungie marehemu hadithi kutafuta umaarufu; mambo ambayo wahusika ambayo can’t back up. Wakati hata familia hawajaulizwa. Hili ni jukwaa la merit
Usitungie marehemu hadithi kutafuta umaarufu; mambo ambayo wahusika ambayo can’t back up. Wakati hata familia hawajaulizwa. Hili ni jukwaa la merit
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,495 Reaction score 272,138 Aug 8, 2025 #2 Mkuu hivi Ndugai ana wake wangapi?
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 13,119 Reaction score 34,445 Aug 8, 2025 #3 Mkuu akiguswa Magufuli, RIP lazima utoke mafichoni. Nadhani unatakiwa kukubali kuwa kuna watu aliwaumiza hivyo kila wakipata cha kumsimanga nacho watafanya hivyo. Wacha ku dictate hisia za watu.
Mkuu akiguswa Magufuli, RIP lazima utoke mafichoni. Nadhani unatakiwa kukubali kuwa kuna watu aliwaumiza hivyo kila wakipata cha kumsimanga nacho watafanya hivyo. Wacha ku dictate hisia za watu.