nafikiri humu wapo wenye akili kidogo wataelewa,ukiangalia hiyo sifa kwa aliyemaliza f6 awe na e za pcb kwa ukweli ni kwamba ana iii ya point 15 huyu anasifa hata ya kwenda chuo kikuu kwa kozi yoyo lakn tuko nao hapa waliwekwa kuchukua cheti kati ya wanachuo wote 33 watu 8 tu ndio f4 na hao hawana kama hiyo f ya physics ya kwako.
Kiukweli wewe ukipata basi ujue sekta ya afya ni ya kwenda na vilaza. Wapo ninaowajua mimi walikuwa na pass nzuri tu kulinganisha na ya kwako walikosa wameamua kuomba mwaka huu ndo unaenda kushndana nao na f yako hyo tena eti diploma ha ha ha ha ha wewe anza kuangalia pa kwenda tu hapo ulishakosa kwani tar 17-30 august siyo mbali.ulishalaza mwaka wewe.

kwahiyo furaha yako w ni kuona mwenzako anakosa nafasi ya chuo?
we bro sheko kuna watu humu ndani ya jukwaa la jf hawazielewi mada bali wanajua sana kukatisha tamaa umesema una f ya math anasema una f ya ph,lkn we tulia tu kaka utapata,nami pia nimeapply nimepata b ya chem,c ya chem,na d ya bios pia b ya math na d ya eng,sijui nami kama nitapata maana hapo bios mkuu kama vipi tuwasiliane
We mkuu najua english umeshindwa kuielewa.Baada ya matokeo ya kidato chat nne kufutwa wizara ilitoa fomu maalum Kwa lugha ya kiswahili ambayo hiyo wanajaza wanafunzi maalum ambao waliapply mara ya kwanza na matokeo yao yakabadilika. Ambapo katika fomu hiyo wameandika fomu hii ijazwe kwa wanafunzi wa kidato chat nne 2012.farijianeni kwa maneno haya"#UTAPATA"
umeomba diploma au cheti ya kozi gani mkuuwe bro sheko kuna watu humu ndani ya jukwaa la jf hawazielewi mada bali wanajua sana kukatisha tamaa umesema una f ya math anasema una f ya ph,lkn we tulia tu kaka utapata,nami pia nimeapply nimepata b ya chem,c ya chem,na d ya bios pia b ya math na d ya eng,sijui nami kama nitapata maana hapo bios mkuu kama vipi tuwasiliane
diploma ya clinical officer mkuu, pia kama unajua chuo cha private kinachotoa kozi hiyo mkuu wangu
Kuna kam kipo kimara mkuu mi mwenyewe natafuta mkuu lakini sijui info zake vizuri hiki chuodiploma ya clinical officer mkuu, pia kama unajua chuo cha private kinachotoa kozi hiyo mkuu wangu
nenda enkernfod tanga ada 1.5mil per year
Wanatoa cheti mkuumkuu kwani Einkenford inatoa certificate kwani na pia naomba contact zao mkuu
Wanatoa cheti mkuu
ada sifahamu mkuu kuhusu contact ukisearch google utapatavpi kuhusu ada mkuu inakuwaje kwa mwaka, na pia michakato ya contact inakuwaje?
Sijui mkuu lakini masomo ya lazima ni bios,chem na phy hayo mengine ni ziada tu.omba mungu tu ndugu kwani Kwa Allah hakuna kinachoshindikanana mim niliyepata F ya phy,C ya chem,D bios na D math.. ntapata kwl kwa kozi ya assistant co na lab..(Cheti)
Kupata post za afya ni shida sana kwa sababu serikali ina vyuo vichache sana
Ni kumba mungu tu mkuu vipi Nimesikia eti wanaitajika watu elfu 4 tu mkuu eti kweli juu ya hiliKupata post za afya ni shida sana kwa sababu serikali ina vyuo vichache sana