walinzi kampuni binafsi sasa wameamka!!!!!!

walinzi kampuni binafsi sasa wameamka!!!!!!

David

Member
Joined
Dec 11, 2006
Posts
69
Reaction score
25
umoja wa wafanyakazi wa kampuni za ulinzi secta binafisi umepanga kufanya mgomo mkubwa kudai haki ongezeko la mishahara.
 
Jazia nyama hii taarifa yako...mkuu au wewe form 4, 2012 ? uko kampuni ipi ya ulinzi njoo kwangu ninalipa freshi kama vipi ni Pm
 
Kwa kweli mishahara ya hawa walinzi inasikitisha sana,
Ukiangalia thamani ya mali wanazolinda na adha wanazopata za kukesha usiku, kwa mishahara duni, it is so sad!
 
Back
Top Bottom