ndg,
siyo kila kinacho letwa JF lazima ukipe nafasi kubwa ya kushughulisha ubongo.mengine tunaleta kama utani tu wa kuchangamsha forum.bila shaka umenielewa.
Kazi ya malezi ni ngumu. Mwalimu ni mzazi wa tatu baada ya Mungu & your biological parents. So, hizo ni changamoto za malezi, poleni & hongereni walimu kwa kazi hii nzito ya kulea watoto ambao hamjawazaa.