Walimu wenye Grade IIIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wenye Grade IIIA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, May 19, 2012.

 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hi wana jf.
  Kama wewe ni mwalimu wa wa daraja la 3A.
  Kuna nafasi tano wanahitajika saba watana watakao fanya vizuri wataajiriwa.
  SIFA:
  1.Awe na elimu daraja 3A
  2.Anajua kingereza vizuri
  3.Awe na uzoefu wa kufundisha usipungua miez sita kwenye English medium schoolz
  NB:
  Asiwe fresh from College
  Mawasiliano:
  E-mail imma.one@mocospace.com
  +255713-810857
   
 2. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nina leseni ya ualimu a.k.a voda fasta vp cfai?. uzoefu ninao tena sana.
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  we hufai mkuu.
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kituo cha kazi wapi?? Nikuletee wanachuo wangu sasa hivi!!!
   
 5. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapana mkubwa tunahitaji walimu waliosomea miaka mwaka mmoja, miwili au zaidi.
   
 6. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapa hapa jijini dar.
  Ila zingatia maelezo
   
Loading...