Hahahahhahaaa Biology aiseeeeee, Parts of Human Body Lol
hahahhahaahaaa Mpwa acha visalengo lako uijaculate kwenye kabla ya kipindi kumaliza?
Na kama wanafunzi wote wa kike je?Apo wanafunz macho yote kwa makalio😱
Tulikuwa naye wa dizaini hiyo,kipindi chake ni kugombania madawati ya mbele japo kila mtu alikuwa na dawati lake.
angefundisha somo la dini
Dini gani atafundisha uyo
Ahahaha yeyote ile atakayopenda kutufundisha sisi wanafunzi tutakuwa tayari kumsikiliza