M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,139 Dec 2, 2011 #21 Hiyo ndio inatakiwa nawaunga mkono wagome, na maaskari wagome na watumishi wa umma ndio serikali ya CCM itatia akili na wabunge wao bungeni.
Hiyo ndio inatakiwa nawaunga mkono wagome, na maaskari wagome na watumishi wa umma ndio serikali ya CCM itatia akili na wabunge wao bungeni.
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 2,976 Reaction score 7,299 Dec 2, 2011 #22 Viongozi wao wanatafuta masilahi binafsi mana siku hizi ukitangaza mgomo tu kesho yake KV anakuita akupoze.
Viongozi wao wanatafuta masilahi binafsi mana siku hizi ukitangaza mgomo tu kesho yake KV anakuita akupoze.
Mpatanishi JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,811 Reaction score 623 Dec 2, 2011 #23 Kifulambute said: Waalimu hata wachinjwe kugoma ni mwiko kwanza wengi wao hawajielewi na wala hawajui haki yao..... hawana umoja hata siku moja Click to expand... mkuu walimu wa sasa hivi ni mwanzo mwisho mkuu. Kizazi cha dot.com tumeingia rasmi kwenye hii taaluma. Hatuendekezi upuuzi. Haki mbele.
Kifulambute said: Waalimu hata wachinjwe kugoma ni mwiko kwanza wengi wao hawajielewi na wala hawajui haki yao..... hawana umoja hata siku moja Click to expand... mkuu walimu wa sasa hivi ni mwanzo mwisho mkuu. Kizazi cha dot.com tumeingia rasmi kwenye hii taaluma. Hatuendekezi upuuzi. Haki mbele.