Walimu Wasio na Ajira (NETO) wamerudi tena. Watuma barua kwa Wizara 3 wakitaka Serikali iharakishe utatuzi wa matakwa yao

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania umesema unaendelea kufuatilia maombi ya ajira yaliyowasilishwa serikalini. Kupitia taarifa yake, uongozi wake umeeleza kuwa suala la ajira za walimu ni kipaumbele na tayari umeandika barua kwa Ofisi ya Rais Utumishi pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu kueleza hoja za walimu wasio na ajira.

Taarifa yao ilisema "Kwa kutambua umuhimu wa matakwa ya walimu wasio na ajira uongozi wa NETO umeanza ufuatiliaji wa karibu ambapo wizara tatu ambazo zinashusika kwa ukaribu na masuala ya ajira na vijana imekuwa ndio kipaumbele cha kwanza kwa ajili ya kukumbusha kuhusu makala iliyowasilishwa hapo mwanzo"

Pia umefikisha maelezo kwa Waziri wa Elimu ukisisitiza umuhimu wa hatua za haraka katika sekta ya elimu. NETO imetoa wito wa umoja kwa walimu wasio na ajira na kuhimiza Serikali kuendelea kushirikiana nao ili kufanikisha ajira kwa vijana.

"Pia kwa umuhimu zaidi uongozi umeiandikia barua Ofisi ya Rais Maendeleo ya vijana ambapo ipo chini ya waziri Mhe Arthur Nanauka kwa ajili ya kuitambulisha NETO kama muunganiko wa vijana walimu wasio na ajira na kutoa matakwa ya walimu wasio na ajira kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi ikiwa ndiyo wizara mpya ambayo inahusika na maendeleo ya vijana"

photo_2025-11-25_01-49-24.jpg
 
Huu ni umoja wa waalimu wasio na ajira serikalini? Au hata shule binafsi? Au ajira zozote tu?
 
Ajira za mchongo ngoja tuendelee kuhesabu siku 100 sijui zimebaki ngapi
 
Watuambie kwanza mchango wao kwenye MO29 ulikuaje
 
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania umesema unaendelea kufuatilia maombi ya ajira yaliyowasilishwa serikalini. Kupitia taarifa yake, uongozi wake umeeleza kuwa suala la ajira za walimu ni kipaumbele na tayari umeandika barua kwa Ofisi ya Rais Utumishi pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu kueleza hoja za walimu wasio na ajira.

Taarifa yao ilisema "Kwa kutambua umuhimu wa matakwa ya walimu wasio na ajira uongozi wa NETO umeanza ufuatiliaji wa karibu ambapo wizara tatu ambazo zinashusika kwa ukaribu na masuala ya ajira na vijana imekuwa ndio kipaumbele cha kwanza kwa ajili ya kukumbusha kuhusu makala iliyowasilishwa hapo mwanzo"

Pia umefikisha maelezo kwa Waziri wa Elimu ukisisitiza umuhimu wa hatua za haraka katika sekta ya elimu. NETO imetoa wito wa umoja kwa walimu wasio na ajira na kuhimiza Serikali kuendelea kushirikiana nao ili kufanikisha ajira kwa vijana.

"Pia kwa umuhimu zaidi uongozi umeiandikia barua Ofisi ya Rais Maendeleo ya vijana ambapo ipo chini ya waziri Mhe Arthur Nanauka kwa ajili ya kuitambulisha NETO kama muunganiko wa vijana walimu wasio na ajira na kutoa matakwa ya walimu wasio na ajira kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi ikiwa ndiyo wizara mpya ambayo inahusika na maendeleo ya vijana"

View attachment 3507041
Hili goma linaitwa mtungo....
 
Hao NETO sijui NYETO waambiwe hakuna serikali kwa sasa. Tukutane 9 D kuikomboa nchi.
 
Hawa hawastahili hata kupewa ajira

Maana hawajitambui

Wanatanguliza maslahi binafsi Kwa sasa taifa likiwa na agenda ya kitaifa ya haki
 
Hao NETO sijui NYETO waambiwe hakuna serikali kwa sasa. Tukutane 9 D kuikomboa nchi.
Nikikumbuka mbwembwe zote mlizokuwa mnafanya mo 29 na kusema 30/11 mnachukua nchi..na mkafeli ..nachoka mm mtoto wa mwandambo..sasa tena mnaenda kuchukua nchi? Mtakuwa hamko serious!!
 
Hakuna member wa NETO Aliye kufa wakati wa maandamano?

Unataka ajira kwa serikali hii batili
Kwamaana hiyo mpo kimsalahi zaidi!
Poor me
 
Back
Top Bottom