Kwa yeyote anayehusika naomba alichukue hili walimu wapya watachelewa kuripoti kutokana na mgomo wa mabasi. Mizunguko ni mingi kukusanya vyeti nakadharika.
Kuwa makini ndugu kama uko jirani na eneo ulilopangwa unaweza kusema hivyo ila jamaa anapoint kama mgomo utaendelea wale wa mbali wataathirika sana nadhani cha kushauri ndugu kama hali itaendelea hivi jaribu kuandika barua mahali husika ili kupewa Mda zaidi Leo watu wameshindwa kutoka goms kwenda posta unadhani kutoka dar to mwanza itakuwaje!? Itabid kuripoti na barua kama hali itaendelea hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.