Walimu wanasikitisha sana

Walimu wanasikitisha sana

School face

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2019
Posts
247
Reaction score
412
Habari wana Jf

Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.

Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.

Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
 
Unachekesha sana, kwako usimamizi wa uchaguzi ni kazi isiyo na hadhi ya kufanywa na mwalimu?
 
Habari wana Jf

Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.

Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.

Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
Yule jamaa kaharibu sana hii nchi anajali matumbo ya ndugu zake basi tu...! Watu miaka 5 wapo kitaa tu wanakula msoto, Wengine hawakumbuki hata walisomea masomo gani sabu wanapambana na mishe zingine ilimradi familia ziende toilet..
 
Kwani walimu ni wafanyakazi wa tume?
Kama una watoto usikubali wawe walimu au Polisi
Pole sana, hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila baada ya kufanikiwa kuwa na mwanafamilia ambaye ni police yamebadilika. Hata wewe siku ukifanikiwa kuwa na japo rafiki ambaye ni police wa cheo cha kati utajua ninachomaanisha.
 
Ni utumishi uliotukuka, walimu wa chuo wanaonyesha uzalendo wao, wewe una shida gani kwani?
 
Nduu nyuzi nyingi kumwandama mwalimu....

Kutafuna wanafunzi.........
Kupigwa mikopo umiza.......
Foreni kazi tume uchanguzi....

Njaaa mwl hatari Sana
 
Pole sana, hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila baada ya kufanikiwa kuwa na mwanafamilia ambaye ni police yamebadilika. Hata wewe siku ukifanikiwa kuwa na japo rafiki ambaye ni police wa cheo cha kati utajua ninachomaanisha.
Mkuu,tanpol sio watu.
 
Habari wana Jf

Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.

Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.

Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
We umekatazwa?
 
Back
Top Bottom