Uzoefu miaka mitatu tena ifakara. Asante kwa taarifa
Kila sehemu ni uzoefu mbona tusio na uzoefu tutapata shida sanamh!uzoefu miaka mi3 sawa bwana.
Huwa natamani nipate mahali nikate nyanga part time, madesa yangu yanafia kichwani wakati walimu wa namba ni ama wachache au hawalipendi somo.
Kwani gpa ndo inayofundisha?g.p.a inasoma lakini nikupe dili?
g.p.a inasoma lakini nikupe dili?