Walimu walioajiliwa 2011

Walimu walioajiliwa 2011

omukulu

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
50
Reaction score
6
Kwa wale wahusika au anayefahamu, itakuwaje kupanda daraja maana ilikuwa tupande mwezi wa saba na vipi huko uliko wametoa barua?
 
Mkuu mimi cjapata info yoyote hapa nilipo kuhusu iyo ishu.
 
sasa si miaka 5 itaisha hamjapandishwa?? kwa mtaji huu waalimu watafundisha kwa moyo kweli??
 
Back
Top Bottom