K kashonzo Member Joined Jan 1, 2013 Posts 26 Reaction score 4 Jun 22, 2013 #1 mwenye waraka wa mishahara mipya ya watumishi wa umma aweke.
M Mipale Steve JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 384 Reaction score 43 Jun 22, 2013 #2 Hv watu msipotutaja walimu hamuoni raha??
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,161 Reaction score 801 Jun 22, 2013 #3 Mipale Steve said: Hv watu msipotutaja walimu hamuoni raha?? Click to expand... kushindwa kumtaja mwalimu ni sawa n kushindwa kumtaja naibu katibu mkuu wa ccm bara mwigulu mchemba
Mipale Steve said: Hv watu msipotutaja walimu hamuoni raha?? Click to expand... kushindwa kumtaja mwalimu ni sawa n kushindwa kumtaja naibu katibu mkuu wa ccm bara mwigulu mchemba
M Mipale Steve JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 384 Reaction score 43 Jun 23, 2013 #4 mansakankanmusa said: kushindwa kumtaja mwalimu ni sawa n kushindwa kumtaja naibu katibu mkuu wa ccm bara mwigulu mchemba Click to expand... tafadhali ndugu naomba ufute iyo kauli yako yani unafananisha mwalimu na Mwigulu?? Kwanza daa nasikia kutapika
mansakankanmusa said: kushindwa kumtaja mwalimu ni sawa n kushindwa kumtaja naibu katibu mkuu wa ccm bara mwigulu mchemba Click to expand... tafadhali ndugu naomba ufute iyo kauli yako yani unafananisha mwalimu na Mwigulu?? Kwanza daa nasikia kutapika
A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Jun 23, 2013 #5 aaaaaaahhh tapika tapika duguuu
M Msaka tonge Member Joined Apr 2, 2013 Posts 78 Reaction score 13 Jun 23, 2013 #6 Nye valimu ikasi mwinayo Mipale Steve said: tafadhali ndugu naomba ufute iyo kauli yako yani unafananisha mwalimu na Mwigulu?? Kwanza daa nasikia kutapika Click to expand...
Nye valimu ikasi mwinayo Mipale Steve said: tafadhali ndugu naomba ufute iyo kauli yako yani unafananisha mwalimu na Mwigulu?? Kwanza daa nasikia kutapika Click to expand...
koplo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 574 Reaction score 153 Jun 23, 2013 #7 Tafuta post kwenye habari mchanganyiko upo huo walaka
V Viscom Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 155 Reaction score 17 Jun 24, 2013 #8 Mimi ni mwalimu na siachi ualimu wataje watukane wadharau...all they can do!...I love my professional juu ya huo waraka tusubiri tarehe moja si mbali wadau tutatoa mrejesho hapa
Mimi ni mwalimu na siachi ualimu wataje watukane wadharau...all they can do!...I love my professional juu ya huo waraka tusubiri tarehe moja si mbali wadau tutatoa mrejesho hapa
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,940 Reaction score 3,303 Jun 24, 2013 #9 Msaka tonge said: Nye valimu ikasi mwinayo Click to expand... Na muhopeledzo inago.....