Ni Katika Kituo Cha Elimu Na Mafunzo Cha TECETRA ACADEMY Kilichopo Temeke (Barabara Ya Buza, Kituo Cha Kwa Mama Kibonge).
Walimu Wa Masomo Ya Science, Arts, Biashara, Hesabu, Computer, English Course N.K. Wanahitajika Kwa Shule Za Msingi Na Secondary (O-level Na A-level). Pia Kuna Nafasi Ya Mshauri Wa Masuala Ya Fedha Na Maendeleo Ya Mradi.
Maombi Yote Yapelekwe Kwa Mkono Kituoni au Yatumwe Kwa E-mail Kwenda tecetra@gmail.com Kabla Ya Tarehe 31/7/2015.
Watakaochaguliwa Wataitwa Tarehe 1/8/2015 Kufanya Usaili Kituoni Saa 8:00 Mchana.
Kwa Mawasiliano Zaidi Piga Simu Namba +255 659 528 724.