We jamaa hali duni ya maisha ndo inafanya MTU asizeeke kama hivyo wakulima wa jembe LA mkono wasingezeeka kbsNadhani mazoezi.
WEngi wana hali duni za maisha ivyo ata maisha yao ni ya kawaida sana.
Na pia kusimama siku zote izo ni mazoezi tosha sana ivyo kuwafanya kuwa fiti
Sure jaribu kucheki watu wanaofanya kqzi ya kusoma Soma like Kama mkulima lazima qlime ili apate ridhiki yake huwa ni nqdra saana kuwakuta wamezeeka ovyo.Kumbe kusoma hakuzeeshi
Waalimu wote, wanafanya Kazi ya baraka pia Kazi yao hakuna wizi wa pesa na wanapata fursa ya kucheka na kutoa stress.Wakuu.
Fanya uchunguzi mdogo wa waalimu wako waliokufundisha shule ya msingi miaka hiyo, saivi kila unaporudi likizo wapo stable , wakakamavu na strong kabisa. Ila jikague wewe mwenye umri mdogo, unazeeka na kuchoka kwa speed ya ajabu sana.
Unamkuta mwalimu mstaafu over 10 years lakini yuko fiti kabisa , wachache sana wanatumia miwani.
Check sasa mtu aliyestaafu wa kada nyingine, anachoka haraka mno na kufa mapema sana.
Nini siri ya walimu wa Shule za Msingi kuchelewa kuzeeka ?
Mkuu rudia kindergarten..ila wanalazimika kuishi maisha ya kiasi kutokana na ufinyu wa vipato..Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.
Kha!!! Ulianza lini kuandika hvyo?Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.
Jiulize kwanza kwanini walimu wengi hawanenepi ovyo wengi wao wana miili kama sio miembamba basi wastani tofauti na kada nyingine
Sasa wakulima mbona nao hudumu maana yale ni mazoezi mwanaWe jamaa hali duni ya maisha ndo inafanya MTU asizeeke kama hivyo wakulima wa jembe LA mkono wasingezeeka kbs
Ila kuna wazee wa kazi kutoka shirika fulani kubwa sana, mfanyakazi akistaafu, kwa kweli (sio utani!) akimaliza miaka mitano, huyo ni ngangari kinoma!
Wengi tumejiuliza kuna tatizo gani huko?
Kumbe kusoma hakuzeeshi