Walimu wa shule za CCM wanyimwa mishahara

Walimu wa shule za CCM wanyimwa mishahara

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,714
Reaction score
59,240
Magazeti ya leo yamereport kwamba walimu wanao fundisha shule za CCM aka shule za wazazi wanalia njaa. Wanaidai CCM mishahara na malimbikizo mbalimbali.

Natumia fursa hii kuwasihi CCM walipe mishahara ya walimu wao.
cc: Mwigulu Nchemba.

mia
 
Wamesikika na matatizo yao yatafuatiliwa. Mishahara inapelekwa ila kuna watu ambao akili zao hazipo sawa wanakuwa wanaihujumu serikali ndiyo maana kuna wakati mwingine matatizo kama haya yanajitokeza.
 
Magazeti ya leo yamereport kwamba walimu wanao fundisha shule za CCM aka shule za wazazi wanalia njaa. Wanaidai CCM mishahara na malimbikizo mbalimbali.

Natumia fursa hii kuwasihi CCM walipe mishahara ya walimu wao.
cc: Mwigulu Nchemba.

mia

Si Nape kasema CCM hawagangi njaa, imekuwaje tena?
 
Back
Top Bottom