Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Nahitaji wanawake 5 waliosoma shahada ya elimu.
Shule ipo kibaha.
Ni shule inayotoa huduma kwa watoto wa kike wenye uhitaji tu.
VIGEZO
uwe na gpa kuanzia 3.6 kwa ngazi ya shahada.
Uwe na umri angalau kuanzia miaka 25
Uwe tayari kuwalea watoto kwa upendo, maadili, na kujitoa toka moyoni.
Kwa uliye tayari ni pm kwa maelekezo zaidi, ningependa zaidi unipm kuanzia kesho ndio nitajibu.
Wa masomo gani dada
Masomo yote mamito.
Nmekupm ..naona kimya apologies lady
Naomba namba ya simu au nitafute my no ni 0718780348 TUWASILIANE
Nimeiona my, but umeme wetu unakwamisha mengi. Nitakucheki jion
Nahitaji wanawake 5 waliosoma shahada ya elimu.
Shule ipo kibaha.
Ni shule inayotoa huduma kwa watoto wa kike wenye uhitaji tu.
VIGEZO
uwe na gpa kuanzia 3.6 kwa ngazi ya shahada.
Uwe na umri angalau kuanzia miaka 25
Uwe tayari kuwalea watoto kwa upendo, maadili, na kujitoa toka moyoni.
Kwa uliye tayari ni pm kwa maelekezo zaidi, ningependa zaidi unipm kuanzia kesho ndio nitajibu.
Vipi Kwa Wenye JINSIA Mbili a.k.a SEMENYA?

mbona haujanicheki jmani na namba yangu nimeitoa hapo??? 0718780348