kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Serikali kama kawaida yake imeagiza mahakama kusimamisha mgomo wa waalimu na kuwalazimisha warudi kazini kuendelea na mgomo baridi kwa sababu wao wala watoto wao si wahanga wa huu mgomo.
Ila hawa viongozi wetu wasio na huruma na raia wa nchi hii wajue mwisho wao hauko mbali kuna siku hao watoto wanaomaliza darasa la 12(form 4) na la saba wakiwa hawajui kusoma, watavyamia magorofa yao na kudai kugawana mali walizo wadhulumu,leo wataniona kama mwehu hivi ila ipo siku wa si mbali ambayo viongozi wote watalazimika kutembea na SMG na askari wenye silaa kali kutokana na hasira ya watanzania kwao.
Mimi sitaki kujadili chochote kutokana na mgomo huu ambao mkuu wa nchi anaona hauna madhara makubwa kwani walimu wakigoma mitaala bado ipo watakuja wengine kufundisha hivyo ata wakigoma hakuna madhara.hivyo hatuna pesa za kuwapa waalimu ila za wabunge,mawaziri,maVX ,G8 na magorofa ya vigogo pamoja na posha za kila aina,zenyewe zipo ila za waalimu kwa kuwa si muhimu hazipo!.
Wadau mi ngoja nitoke tu hapa hii nchi si mahali salama pa kuishi tena!.