Mika Rhoda Member Joined Aug 25, 2013 Posts 9 Reaction score 11 Jan 2, 2020 #1 Imekuwa ni kama kawaida shule nyingi za boarding vitanda kuwa na kunguni. Hawa vijana wakija likizo wanatuachia majumbani hawa wadudu. Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa wadudu, Wakija wasije na nguo zao huku uraiani HappyNewYear2020 Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa ni kama kawaida shule nyingi za boarding vitanda kuwa na kunguni. Hawa vijana wakija likizo wanatuachia majumbani hawa wadudu. Walimu angalieni namna mnavyowezakuwasaidia kuua hawa wadudu, Wakija wasije na nguo zao huku uraiani HappyNewYear2020 Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,437 Jan 2, 2020 #2 Kijana akirudi nyumbani afue nguo zake zote kabla hajaziingiza ndani na azipige pasi, aoge na kubadilisha nguo
Kijana akirudi nyumbani afue nguo zake zote kabla hajaziingiza ndani na azipige pasi, aoge na kubadilisha nguo
Mika Rhoda Member Joined Aug 25, 2013 Posts 9 Reaction score 11 Jan 2, 2020 Thread starter #3 Ni kweli hyo itasaidia. Ila kwanini wasianze walimu kuwaongoza vijana kumaliza hili tatzo Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hyo itasaidia. Ila kwanini wasianze walimu kuwaongoza vijana kumaliza hili tatzo Sent using Jamii Forums mobile app
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,922 Reaction score 47,153 Jan 2, 2020 #4 Shule yetu ilikuwa inafanya fumigation kila likizo, gharama yake ni 3M kwa ujumla. Mkuu wetu wa shule yuko vizuri sana hakutaka tupate shida lakini huwezi maliza kunguni shuleni labda upunguze tu
Shule yetu ilikuwa inafanya fumigation kila likizo, gharama yake ni 3M kwa ujumla. Mkuu wetu wa shule yuko vizuri sana hakutaka tupate shida lakini huwezi maliza kunguni shuleni labda upunguze tu
mlima wa mizeituni JF-Expert Member Joined Sep 7, 2019 Posts 1,385 Reaction score 2,460 Jan 3, 2020 #5 Kuna wengine wanatoka nazo majumbani, kwenye vyombo vya usafiri, nyumba za wageni n.k na kuzileta mashuleni. Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine wanatoka nazo majumbani, kwenye vyombo vya usafiri, nyumba za wageni n.k na kuzileta mashuleni. Sent using Jamii Forums mobile app
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,016 Jan 3, 2020 #6 kijana wako mchafu tu, na kwako pia.
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,005 Reaction score 7,115 Jan 3, 2020 #7 Simpendi huyu mdudu Sent using Jamii Forums mobile app