Jamani,nimesikia kuna semina za BRN za walimu wa sekondari zinaendelea kuna walimu wamechaguliwa kuhudhuria semia hizo,mfano moja ya semina inafanyika mkoa wa Tabora,naomba kujuzwa hili.
Mi nimetajwa kushiriki semina hiyo ila cjaambiwa semina itakuwa ni ya siku ngapi, jumatatu ndo semina inaanza. Mwenye uzoefu atuambie hufanyika kwa siku ngapi na malipo yakoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.