hhhhj
Member
- Oct 5, 2016
- 41
- 68
Nidhahiri kuwa maswali mengi ya leo yalihusu viwanda,mambo ya habari na hata baadhi ya muda zilitoka pongezi tu.Ilifikia mahali maswali ya viwanda kuzuiliwa na hata kupelekea waandishi wa kawaida kuzuiliwa na kuruhusiwa wahariri pekee....
Sikutegemea leo pale ambapo maswali kuhusu elimu yalivyokuwa mepesi kiasi kwamba raisi hakupata ugumu wa kuyajibu.....
Nikweli raisi katuambia ubora wa elimu ni suala MTAMBUKA ambalo hata yeye analifahamu kwa kuwa ni mwalimu yaani nikuwa raisi analifahamu ila kiukweli siyo kipaumbele UBORA kuliko kujaza mashule kwa kusema ELIMU BURE......
HII INAMAANISHA NINI????
Raisi anafahamu mishahara ni midogo na walimu hawana posho ila kwakuwa ni suala MTAMBUKA hili si la umuhimu sana kwakuwa limezoeleka.....
Raisi anafahamu hakufanya nyongeza yoyote ya mashahara ambayo ni haki kisheria ila kwakuwa ni suala MTAMBUKA siyo muhimu sana.......
Raisi anafahamu mazingira ya walimu ni magumu hasa vijijini ila kwakuwa ni suala MTAMBUKA kwake siyo tatizo kubwa.......
Raisi anafahamu pesa ya elimu bure ni ndogo mashuleni ila kwakuwa ni suala MTAMBUKA hiyo hiyo inatosha......
Raisi anafahamu walimu ni wachache na wengi hawaja ajiriwa ila kwakuwa ni suala MTAMBUKA lisubiri pesa ikanunue ndege....
Ni kitu chakuuma paleunapogundua mtenda anajua hiki si sawa ila anafanya kwa kuwa anawafahamu na alishawahi kuwa na nyinyi.
MWISHO
Walimu hebu tupange event moja tu halafu tumualike raisi na hapo tutoeyooooote ya moyo kinyume na hapo tukitegemea kwakuwa alikuwa mwalimu msisahau kunausemi unasema ADUI WA MWALIMU NI MWALIMU