Walimu mwaka huu nje kusimamia uchaguzi?

Naamin kura za walimu hazimsadii kitu kwa ssm!! ila zinamsaada kwa upinzani. ssm inambo mambo ambayo ni vigumu kufikiria kwani wanafikiri urahisi wa kutoa rushwa kwa hao wanakijiji kwani wafanyakazi walishawachoka kuwaunzia haki zao!!!
Mfa maji hachi kutapata!!!
 
kweli jamani lazima tuwe wakweli na tusipende kuegemea upande mmoja.
thread nyingine kwa kweli sio za kweli tuache umbeya jamani tuzungumzie vitu vya kweli
 
wasipotumia waalimu, alternative ni kutumia wanavyuo - ilisikika kuwa watatumia wa udom
 
jamani tuwe wakweli na kuacha kufuata mkumbo hizi taarifa kawapa nani? lakini watanzxania wengi hatujui hadui wetu,mi nataka niwambie adui si ccm ila watu au naweza kusema watanzania wote kwani hata kipindi cha luddism wakina ludo hawakujua adui wao walidhani mashine ndiyo adui na sasa imerudi kwetu watu wanadhania adui ni CCM la! nataka nisema hili litatupeleka pabaya tazama tunavyochukua muda wetu mwing kueleza mabaya ya ccm.mi ninaamini katika utendaji na ushiriki binafsi kwamba mimi ninashiriki vp? kusaidia nchi yangu inawezekana wanapinga maovu ya ccm hawajapatya nafasi pengi wangekuwa waovu zaidi.TUTAFAKARI KWA KINA SIASA ZA TANZANIA NI TATA KWANI UNAYOSIKIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NI TOFAUTI NA UKWELI HALISI
 
Back
Top Bottom