Walimu mnavuna mlicho kipanda! "mbadilike."

Userne

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
892
124
Walimu msitafute mchawi kwa sasa, kwa mabaya na dhulma zote zilizojiri hapa nchini! Kwenu na wananchi kwa ujtmla wake! Hebu jiulizeni mliliandaa, mnaliandaa, na mtaliandaa vipi taifa hili, kupambana jumla na haya yote maovu! Nyinyi ndio tunao wategemea kufufua dhamira za wananchi zilizo kufa! Leo kuna mchakato wa katiba hatusikii kupaza sauti yenu kuu!
Mbadilike muachane na mifano hasi, ya aliye juu mngoje chini! atashuka lini? kwa nini tusimpandie!
Walimu wetu Badilikeni mshike nafasi zenu, muache kufa kikondoo! Nyie ni sawa na chachu yetu!
Tunawajali na kuwategemea!
 
Back
Top Bottom