Walimu mkikamata vibomu kwenye mitihani basi mjiridhishe kwanza kama kilitumika

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
443
1,000
Ukimkamata mwanafunzi kwenye chumba cha mtihani na unathorized material basi kabla hujamtoa mwanafunzi kwenye chumba cha mtihani au kumfutia matokeo basi ni haki ya mwanafunzi kwamba ujiridhishe kama alikitumia kibomu hicho kwenye mtihani? Uwe na ushahidi na sio hearsay za kutonywa kama Kibatala alivyotonywa na Prof Jay.

Kwa wanafunzi waliofutiwa mitihani na watakaofutiwa mitihani fungueni kesi mahakamani kwa kuzingatia kesi hii ya Bw Freeman Mbowe

Jaji Tiganga ni noma. Anasema Haki lazima itendeke na ionekane kuwa imetendeka
 

uhurubado

JF-Expert Member
Mar 25, 2007
722
1,000
Usitupangie kiongozi. Huku tuna sheria na taratibu zetu! Mambo ya Ngoswe muachie mwenyewe huko huko alipo!
 

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,282
2,000
Yaan vibomu vinapolipuka vinawadhuru sana walimu kuliko WANAFUNZI
Ni bora vibomu hivyo vitolewe pin zake kabla havijalipuka
 

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
Hakuna kitu hapo hiyo kesi ni vituko tuu...na mbaya zaidi hukumu zake zitabaki kama reference ya kesi zingine nimeanza kuelewa kwa nini Prof Luhanga alizarau sana course ya sheria...alikua anawaita course ya mwandiko alisema akisoma anaweza kutoboa ila hakutoboa mwaka wa kwanza akiwa Prof chuo hicho hicho...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom