ELEWA SIO WOTE NI WALE WA SAYANSI TUWalimu watakaoajiriwa watapangwa moja kwa moja shuleni na maeneo yenye upungufu' [HASHTAG]#Waziri[/HASHTAG] mkuu KASSIM MAJALIWA-Bungeni
Kwani mwk jana ilikuwaje?itakua.kama.mwaka jana.
Na zamu hii wanasema usiporipoti ndo wanafuta ajira hakuna ujanja ujanja wa kwenda kuripoti halafu unarudi na kwenda kuchukua ajira private sekta huko st. Anyiitike Pre and Inglish skuls kupata ajira hafu unakula mishahara miwili miwili, lazima kunyooka zamu hii.Shkamooo mwalimu, marahaba kaa chini,Asante!😛
Rafik yangu naww wasubil ajira?Kwani mwk jana ilikuwaje?
watoe ajira watu wanaumia kitaaWalimu watakaoajiriwa watapangwa moja kwa moja shuleni na maeneo yenye upungufu' [HASHTAG]#Waziri[/HASHTAG] mkuu KASSIM MAJALIWA-Bungeni