Walimu kugoma tena

kuna waalimu walicheleweshwa mwaka 2011 mpaka leo ni kilio tu.wanackilizia.
 
Walimu nchini wametega
sikio kwa serikali juu ya madaraja, posho ya mazingira na mshahara mpya.
La sivyo ni mgomo baridi

Basi utakuwa Mgomo Baridi Part II. Kwani, Part I tumeshayaona mazara yake tayari...
 
Tatizo ni kuwa kuna watu humu jf wanajifanya kuwa wao ndo wana uchungu na walimu kuliko walimu wenyewe
 

naunga mkono hoja 100%.
 

live ipi unayoijua wewe?umesahau mwezi wa nane mwaka jana?
 

unahamu ya kupandwa wewe?
 
Labda niulize,cwt haina uwezo wa kulipa walimu mshahara hata mwezi moja tu,ili tugome mwezi mzima na tuombe serkal isitulipe tukiwa kwenye mgömo?
 
Mgomo ulianza tangu mkuu wa nchi aliposema serikali haiwezi kuongeza mishahara ya watumishi na anayeona mshahara ni mdogo aache kazi. Sasa WALIMU wameacha kazi na wamebaki na AJIRA.
 
Umemsikia nani mkuu:crying: mbona waziri kombani hakuna mahala ametangaza mshaharabutapanda kwa asilimia fulani. Acha uzushi na inaelekea wewe ni miongoni mwa watu wanaoendekeza mifarakano katika jamii. Umebaki kuvuliwa chupi tu
 
Duh....Hili fungu Nape, Kinana, Mama Salma wanalotumia kila kukicha kwenye ziara za kuwaahadaa wananchi si wangeliongeza kwenye mishahara ya watumishi wa serikali.?

Wanatenga mabilioni kwa ajili ya kuzikia wafu watarajiwa wakati kuna walioko hai hawajui watajikwamua vipi katika situations walizopo...Inasikitisha...
 

mbna hata mie kwenye mgomo, sina muda wakungojea tamko la cwt
 
Ni mgomo kwa namna yoyote, walimu hatuko tayari kukubariana na viwango hivi
vya mishahara visivyoendana kabisa na hali
halisi ya ugumu wa maisha.
 
ni bora waingie barabarani kuliko huu wa kazini tunaenda lakini kazi hatufanyi,madhara yake yameanza na tayari yanakuja.
 
hivi ni kwanini serikali iliamua kuondoa teaching allowance,disturbance allowance,job allowance n.k?kwa manufaa ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…