Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Kwa miaka mingi nchi hii walimu hasa kwenye somo la sayansi kwa Elimu ya msingi na sekondari wamekuwa wakifundisha kuwa Organ ya ulimi imegawanyika sehemu 3 za radha; yaani chungu, chachu na tamu. Funzo hili wamelitoa kwenye vitabu vya mitaala waliyoikuta na hakuna aliyewahi kuchunguza kisayansi kama jambo hili ni kweli au la.
Naomba niwatangazie wanafunzi wa ngazi zote kuwa theory hii ni uongo wa kutupwa kwa mujibu wa Experiment iliyofanyika Yale University hivi karibuni (ntaweka linki baadae), ingawa katika hali ya kawwida hata bila Brockbuster Research kufanyika, kiutu uzima chachu inaeleweka, chungu inaeleweka na tamu inaeleweka.
Baadae.