Poleni kwa shughuli,nahitaji msaada wa vyuo vya ualimu wa diploma,vyuo vya serikali,na wanaanza kuapply mwezi wangapi?plz nahitaji hata naejua gharama zake,nisaidieni tafadhali,Mungu awabariki
mara tu baada ya matokeo ya form six na una aply kwa katibu mkuu.Kwa sasa gharama ya ada ni laki mbili kwa mwaka na kunakua na michango mingine midogomidogo inayoweza kufika laki hadi laki na nusu.
Uwe unatembelea website ya wizara ya elimu ambayo ni www.moe.go.tz, huwa wanaweka matangazo. Mwaka jana niliapply mwez wa 4. Wataweka tangazo kuwa mtume maombi wizarani huku ukiambatanisha na vivuli vya vyeti vya form 4 na 6. Wanaweza kuruhusu kuapply hata kabla ya matokeo ya form 6 kutoka, tembea tovuti yao mara kwa mara.
Uwe unatembelea website ya wizara ya elimu ambayo ni United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training, huwa wanaweka matangazo. Mwaka jana niliapply mwez wa 4. Wataweka tangazo kuwa mtume maombi wizarani huku ukiambatanisha na vivuli vya vyeti vya form 4 na 6. Wanaweza kuruhusu kuapply hata kabla ya matokeo ya form 4 kutoka, tembea tovuti yao mara kwa mara.