Pumbavu Wewe Nyamaza Hujui Ki2, Mimi Nimefika Chuo Kwa Kuunga Unga Mbona Sijaiba Mtihani? Pili,ingekuwa Wanaofika Chuo Kwa Vyeti Vya Kuunga Unga Iweje Wafike Chuo Kwa Kuunga Unga Ili Hali Wanaiba Mitihani Kwanini Wasifaulu?
Tumaini Iringa haina utamaduni wa kumfukuza yeyote kwa kosa lolote
Lubawa, Nikolasi Bangu, Mdegela na wahuni wengine wenye mamlaka hawana ubavu wa kufukuza mtuutamaduni huwa nao unabadieika kidogo siku zinapoenda hasa mabadiliko mengine ya taasisi yoyote. katika hili naona mwaka huu hakuna msalie mtume. watu wataondoka .
Mkuu Kunywa soda kwa mangi ntalipaInamaana walimu wameiba mitihani yote? Na je, iliwezekana vipi? Wahusika hawajulikani? Na kama wanajulikana ni akina nani na wanamahusiano yapi na waliandaa mitihani?