Walimu hawajalipwa malimbikizo ya madeni

Bulah

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
246
Reaction score
57
pamoja na serikali kuahidi kulipa kabla ya mwezi wa saba lakini bado hawajatimiza ahadi... kwenu huko vp??
 
Kafulila ni ngedere according to werema

Ingekuwaje kama kafulila angereact nakusema, werema nae ni "msukule "wa chama cha ccm asiye na maamuzi binafsi hapo unasemaje? Tuache kushabilia matusi
 
Kwa walimu wala sishangai maana hata uingereza walilalamika na kuandamana lakini hakieleweki.
 
wasilipwe tu hawana faida yoyote walimu wa nchi hii..kwanza ndo wanaoifanya CCM mpka leo inakaa madarakani...to hell na malimbikizo ya mavitu yao watasubiri yesu arudi walipwe
 
Mimi ninawalaumu sana viongozi wa CWT ambao wameolewa na CCM na kuwatelekeza walimu , ninaahidi kuanzisha harakati ya walimu kujitoa uanachama wa CWT. Viongozi wa CWT, SASA wamebeki kuwa wezi wanao komba fedha kutoka mishahara ya walimu tena bila ridhaa yao. Ndio maana serikali inawachezea walumu kiasi hiki. Sababu chama cha walimu kimeingiliwa na matapeli.
 
Kwani ualimu ni kazi au kibarua? kama ni kibarua si huwa wanalipwa kila siku ama week baada ya kazi sasa iwaje wao walundikizie pesa zao???
 
kama huna cha kuchangia pita zako ,bila wao hata kuandika hayo uliyo andika usiwengeza kuandika hayo uliyo andika
 
kwa kuwa wewe upo kitaa bila ya ajira, wivu umekujaa kwa walimu wanaojilia mishahara yao kiulaini!! utaishia hivyohivyo kusugua benchi kitaa nyau wewe!!!
 
Kucheleweshwa pesa zako za kibaruani kumekutoa akili mpaka unafikiri kuwa watu wote ni wasugua ma*t*ko katika benchi la ajira!!! njoo nikupe ajira achana na hicho kibarua chako...kama uko tayari sikulazimishi mkuu...
 
wasilipwe tu hawana faida yoyote walimu wa nchi hii..kwanza ndo wanaoifanya CCM mpka leo inakaa madarakani...to hell na malimbikizo ya mavitu yao watasubiri yesu arudi walipwe
Elimu yako uliyoipata wala haina faida na inaonekana haijakukomboa...
 
Kucheleweshwa pesa zako za kibaruani kumekutoa akili mpaka unafikiri kuwa watu wote ni wasugua ma*t*ko katika benchi la ajira!!! njoo nikupe ajira achana na hicho kibarua chako...kama uko tayari sikulazimishi mkuu...

I Think U Have Emotional Turmoil, Why Dont U Critisize Like Literate? Do U Know The Value Of Education That Brought To You By Teachers? I Will Never Shut Up For Such Kind Of Dirty Statement
 
Mimi ninawalaumu sana viongozi wa CWT ambao wameolewa na CCM na kuwatelekeza walimu , ninaahidi kuanzisha harakati ya walimu kujitoa uanachama wa CWT. Viongozi wa CWT, SASA wamebeki kuwa wezi wanao komba fedha kutoka mishahara ya walimu tena bila ridhaa yao. Ndio maana serikali inawachezea walumu kiasi hiki. Sababu chama cha walimu kimeingiliwa na matapeli.

Umesema vema sana Kiongozi!!! Kabla cjajitoa kwenye kada hiinikikuwa mwanachama wa CWT.Lakini cjui nilijiungaje. Maana baada tu ya kuajiriwa nkaona naanza kukatwa pesa ya CWT. Inauma sana.
 
I Think U Have Emotional Turmoil, Why Dont U Critisize Like Literate? Do U Know The Value Of Education That Brought To You By Teachers? I Will Never Shut Up For Such Kind Of Dirty Statement

You guy don't bubbling!!! if you need a good job too... pm me...really gonna put you somewhere that you ain't never been...ha hah!! i don't force you...
 
kama huna cha kuchangia pita zako ,bila wao hata kuandika hayo uliyo andika usiwengeza kuandika hayo uliyo andika

Kwani nimekushika wapi mkuu?? sijakushika sahemu yeyote unaanza kutoka povu!! je ningekushika kalio....!!!
 
Ni watumishi wote wa Serikali hatujalipwa sio walimu pekee.
 
Kucheleweshwa pesa zako za kibaruani kumekutoa akili mpaka unafikiri kuwa watu wote ni wasugua ma*t*ko katika benchi la ajira!!! njoo nikupe ajira achana na hicho kibarua chako...kama uko tayari sikulazimishi mkuu...

huna lolote wewe, watu wenye kazi zao wako busy na kazi si kufuatilia maisha ya watu na kuwa na majungu, fitina na wivu kama wewe, we endelea kupigika kitaa tu na vyeti vyako mpaka viliwe na mchwa lakini ajira hakuna, labda ajira utakayoipata ni ya ushoga tu!!
 
Back
Top Bottom