wambea kupitiliza
majungu ya kijinga
kukuchomea yeye haoni shida
kuombeana vikwazo sana
dharau wa degree anajiona bora zaidi ya wa diploma, wa diploma anajiona bora zaidi ya cheti na wa cheti hujishusha mwenyewe
Yes hujakosea kabisa wewe huoni jinsi tu Mwalimu Magufuli anavyonafikia mishe za MaCCM?wanafki wengi unaweza ukafanya jambo wakakukwamisha
wengi tuwazungumzaji sana kuliko vitendo
Halafu kunakitu tuna sahau,katika idara ya utumishi sisi kada ya ualimu tupo wengi sana ila kwanini hatufanikiwi????
ADUI WA MWALIMU NI MWALIMU mwenzie
Share ujumbe huu kwa waalimu wengine ili wajitambue.
Hoja imetolewa na imeungwa mkono na sasa nitawahoji,,,Wanaoafiki waseme NDIYOOOOOOOOO
Uliyoandika kuhusu walimu Kwa kuzingatia maana ya neno maoni, moja Kwa moja inaonyesha hayo ni maoni yako jinsi unavyowachulia walimu ndani ya jamii. Hivyo basi, topic yako ingeeleza moja Kwa moja kuwa ulikuwa na lengo la kutoa maoni yako juu ya walimu Kwa maana hiyo. Hapo ingekuwa umetumia vizuri Uhuru wako wa kutoa maoni.##no facts hapo!Habari Jf,, Watumishi wengi wa sekta ya elimu(WAALIMU) wapo hivi:
🙊wambea kupitiliza
🙊majungu ya kijinga
🙊kukuchomea yeye haoni shida
🙊kuombeana vikwazo sana
🙊dharau wa degree anajiona bora zaidi ya wa diploma, wa diploma anajiona bora zaidi ya cheti na wa cheti hujishusha mwenyewe
🙊wanafki wengi unaweza ukafanya jambo wakakukwamisha
🙊wengi tuwazungumzaji sana kuliko vitendo
🙊Halafu kunakitu tuna sahau,katika idara ya utumishi sisi kada ya ualimu tupo wengi sana ila kwanini hatufanikiwi????
🙊ADUI WA MWALIMU NI MWALIMU mwenzie
🙈Share ujumbe huu kwa waalimu wengine ili wajitambue