Walichangiwa nauli na ndugu zao wakasafiri mpaka bandari ya salama!
Wakafika Dar salama usalmini!
Wakaanza ujasiriamali mkawaita wamachinga!
Punde mkaona wamefanikiwa!mara mkawaona ni kero!
Mkawafukuza Dar kwa virungu vya mgambo!
Wakaona isiwe tabu!wakarudi Ntwara!
Wakaendelea na kilimo cha jembe la mkono!
Mara wakaambiwa Ntwara kuna hazina!
Hazina nyeti ya gesi!
Wakapumua na kusema ,sasa umasikini baasi!
Mkawafariji na kuwaahidi kwamba gesi ni mkombozi na viwanda mtavipata!
Wakawapa fursa kwa kuwachagua ili mtekeleze hayo mliyowaahidi!
Loh!mkawaacha kwenye mataa!
Tena mnajigamba Gesi lazima ikabwage moyo hukoo bagamoyo!
Sasa wanasema hapana 'Gesi haitoki hata kwa mrija wa pen'
HAO NDIO WAMACHINGA!

ii muvi kama ccm na serikali yake ikikaza shingo mtaniruhusu niwe nabii?
Walichangiwa nauli na ndugu zao wakasafiri mpaka bandari ya salama!
Wakafika Dar salama usalmini!
Wakaanza ujasiriamali mkawaita wamachinga!
Punde mkaona wamefanikiwa!mara mkawaona ni kero!
Mkawafukuza Dar kwa virungu vya mgambo!
Wakaona isiwe tabu!wakarudi Ntwara!
Wakaendelea na kilimo cha jembe la mkono!
Mara wakaambiwa Ntwara kuna hazina!
Hazina nyeti ya gesi!
Wakapumua na kusema ,sasa umasikini baasi!
Mkawafariji na kuwaahidi kwamba gesi ni mkombozi na viwanda mtavipata!
Wakawapa fursa kwa kuwachagua ili mtekeleze hayo mliyowaahidi!
Loh!mkawaacha kwenye mataa!
Tena mnajigamba Gesi lazima ikabwage moyo hukoo bagamoyo!
Sasa wanasema hapana 'Gesi haitoki hata kwa mrija wa pen'
HAO NDIO WAMACHINGA!
Ni hasira za simanzi la muda mrefu!Very plausible. Plausible being the operative word.
Nimeenda kipande cha kuvuka daraja kabla ya daraja la Mkapa, kupita Muhoro na Nangurukulu. Mpaka Nachingwea, kwingine nishaanza kusahau majina sasa.
Ukitoka Dar ni kama umeenda nchi nyingine hivi, hata kama Dar umetoka slums za Upanga.
Na nikafanya urafiki na watu niliokutana nao huko, wakaja kunitembelea Dar, wakashangaa kama wamefika nchi tofauti na yao.
Na kwa kweli ilikuwa tofauti na yao, maana hata kupanda ngazi za ma slums za Upanga ilikuwa kazi. Si mimi ninayesema hivyo - mimi napenda kujifikiri kama mswalihina walii sana kuona hilo- wao wenyewe wameniambia, huku wakipanda ngazi, miaka hiyo nikisubiri matokeo kwenda chuo na kujaribu biashara ya vyaza na Wakorea. Ilikuwa ni habari mpya kwao.
Najaribu kufikiri mtu huyu umwambie kuna mali inatoka kwake na kupelekwa mamia ya maili mbali naye.
Halafu umwambie kwamba Tanzania ya leo hatuna ukoloni wa mtu mweusi dhidi ya mweusi.
Ataanza kukuamini vipi?
Na hata kama hatakuamini kwa upotofu, utamlaumu vipi kwa jinsi alivyokoseshwa elimu miaka yote hii?