Walichotuzidi wanawake.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi
Wanaume...! Je ni kweli?
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto
Wao.
... 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda
Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi
Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya
Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila
Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya
Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda
Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani Tumeisahau...
 
the only advantage ninayoona about women ni closer bond waliyonayo na watoto
 
Sasa ku.tia wanawake 2 tu, tayari mtu anaiona ana phd ya wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…