NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,305
- 12,802
Siri! Siri ! Siri! Hakika ni Jambo kubwa sana ndani ya kikosi /Timu ya Yanga sc imetawala imenifanya NALIA NGWENA nikumbuke Mambo ya kijeshi na mbinu za kivita kipindi napata mafunzo maridhawa namna gani ya kumpoteza adui yako kwa kutoexpose hadharani Mambo yako.
"Yanga SC Safari hii wamekua wasiri sana hata sisi wenyewe tumeshindwa kupata habari zao za uhakika"
Hiyo ni kauli ya mchambuzi mmoja kutoka kwenye kituo kikubwa Cha redio kipindi kinachoitwa sports extra.
Binafsi naona Mambo makubwa yanakuja na itakua ni Furaha kwa Wananchi, tetesi na propaganda zinazoendelea ni kundi la watu wasiojulikana wanajaribu kujitekenya na kucheka wenyewe lakini juhudi zao zinagonga mwamba.
Kwani Nani asiyejua kuwa Kuna kikundi Cha watu kilimsuka Feisal ashinikize kuondoka kwa Eng. Hers?
Nani asiyejua kuwa Kuna kundi ambalo lisilokuwa ni mashabiki wa Yanga sc wanampiga Vita Eng hers?
Na zinatumika nguvu kubwa kusambaza Propaganda za chuki na kuwaaminisha mashabiki kuwa Yanga sc si chochote.
Wananchi/mashabiki wa Yanga kaeni kwa kutulia Mambo ya Tetesi na propaganda tumeshapita huko Sasa Mambo yanafanyika kisomi.
Pongezi kwa viongozi wa Yanga sc kwa kuwanyoosha wazee wa propaganda/tetesi hawalali wakiwaza Yanga mbona wapo kimya kushusha jopo lao la wachezaji.