Maisha ya pale NIT ni ya kawaida. ila kupata hostel pale ni kazi kubwa, maana hostel za pale zinaweza kubeba wanafunzi 320 na malipo kwa semester moja ni Tsh 100,000/=. Kama unataka kupata hostel inabidi uwai kufka ili uweze kuomba mapema. but pia kuna hostel za nje ya chuo ambazo malipo yake ni kuanzi Tsh 45,000/= kwa mwezi.