GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Kwa ninavyowajua Wazungu ukiona tu wanaanza Kukutilia mashaka jua ya kwamba kuna mahala umekosea au unakosea mno na kwamba siku si nyingi wanaweza wakakuacha ili upambane mwenyewe na kwa ninavyojua hatuna ' ubavu ' wa Kijitawala wenyewe bila ' misaada ' ya Wazungu.
Kuna Mtu mmoja mpaka sasa hivi najiuliza anatumia ' Kizizi ' gani ambacho kinamfanya ' Bosi ' wake Taifa ' asimtumbue ' hapo alipo kwani siyo ' Siri ' tena kama kuna Mtu ambaye ameshaigharimu na anaendelea kuigharimu nchi hii ' dearly ' ni huyo huyo na nasikitika hadi sasa hivi bado ' anapuyanga ' tu na naambiwa hata juzi au jana alionekana Mkoa wa Jirani tu hapa usio wa Bahari ila una Bwawa Kubwa mno la Mindu.
Kwahiyo mnataka kusema kuwa Europena Union, World Bank, Denmark na Sweden wote hawa ni ' Mapopoma ' na wamekurupuka tu katika kusema yale yaliyomo ' mioyoni ' mwao na yanayowasibu? Namalizia kwa kusema ' Wazungu ' huwa hawakosei na hawabahatishi na kuna uwezekano mkubwa kuwa huu ni mwanzo tu ila kuna mahala ambapo ' watatuweza ' na ndipo mtatuheshimu Watu ambao kila mara tunadiriki kutumia mida yetu kwa nia njema tu wenye msukumo wa Kizalendo ' Kuwashaurini ' ila mnatudharau lakini mnawaamini ' Wanafiki ' mlio nao jirani ambao Kimsingi ndiyo wanawapelekeni ' chaka mbaya ' kabisa.
Yangu macho tu ila tujitafakari kwani bado hatujachelewa!
Nawasilisha.