Mahitaji
Mchele nusu kilo
Karot 1 kubwa ipare vizuri
Nyanya 3 kubwa.....
Vitunguu maji 2 ukubwa kiasi....
Bizari ya pilau,curry powder,bizari ya njano na mdalasini 1/2 teaspoon kila kimoja.....
Mafuta kiasi....
Mchanganyiko wa mboga (mfano njegere na mahindi machanga) ila hii sio lazma....
Chumvi kiasi.....
Mboga ya spinach.....bunch 1
Saumu na tangawizi ya kusaga 1 teaspoon
Namna ya kutaarisha....
Roweka mchele kwa dakika 20.
Weka mafuta katika sufuria....kaanga kitunguu maji hadi karibia kua brown
Weka spices zote
Weka tangawizi na saumu...
Tia carrot yako uliopara pamoja na vegetable nyengine....
Mimina nyanya pamoja na mboga ya spinach.....
Koroga hadi wiviwe kiasi....
Mimina mchele,weka chumvi na maji ya moto kdg...
Funika punguza moto ili chakula kisiungue.....
Subiria hadi kuwiva
Andaa tayar kwa kuliwa
Thanks dada mkubwa umetisha hizi spinach hazitaiva sana kweli..

asante mama,ila siwezi kuharisha?naona kama msosi wa kigabachori huo?
Bibie una restaurant mahali nije kutembea na kuonja mapishi yako?
Asante mpenzi,hii inapikwa Leo for supper
Thank you a lot dear!!:A S thumbs_up:
Safii jaan....hasara juice ya bungo hapo ....lol
Hapo na samaki wa kukaanga....duh...ntakula nivimbiwe...