ofcoz ni wali, hata vitumbua na vibibi na mkate wa kumimina na chauro zote ni wali family..!!
Okay!! ona sasa let say "
nyama" (meat) inapo kwenda kwenye mapishi hutambulika as Meatball, kabab, Mishakaki, nyamachoma, roasti,cooked steak,steak grill,buram, na majina mengine.
.
Na mfano
unga wangano hupelekea kupata Mkate,cake, macarona,maandazi,kaukau, Pastries,nk !!