Walevi wawili.

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Mlevi wa kwanza akamropokea mwenzie kwa hasira;Kwa taarifa yako,jana nimelala na mama yako mpaka asubuhi. {Watu wote pale bar wakakaa kimya kusubiri yule mlevi wa pili atakavyojibu mapigo}.Mlevi wa pili akajibu huku akicheka sana;"Baba,naona umelewa sana,hebu nyanyuka turudi home!"
 
Malizia sasa mbona unatuacha hewani hewani
 
kabla mlevi wa pili hajajibu,nilitamani asingekuwa ni mtoto wa huyo mlevi wa kwanza..nahisi pangechimbika niaje..umetisha!!
 
kabla mlevi wa pili hajajibu,nilitamani asingekuwa ni mtoto wa huyo mlevi wa kwanza..nahisi pangechimbika niaje..umetisha!!

Hujaelewa nini? Kama alilala na mama yake basi ni baba yake. Imekaa vizuri
 
we mkali.mh! Kama asingekuwa baba yakd bac ingekuwa varangati
 
Mlevi wa pili anaelewa vzr mambo ya family tree
 

Salute! Hii kali🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…