Nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ
Nilitamani kuwa Infantry Soldier wa JWTZ/TPDF ila nikaishia kuwa Soldier wa JamiiforumsInfantry Soldier!
Thanks brotherPole sana
Huo huo mwaka na mm nilitaman lkn niliyokutana nayo najua mwenyewMwaka 2012 nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ/TPDF ila juhudi zangu hazikuzaa matunda.
Pole sana chiefHuo huo mwaka na mm nilitaman lkn niliyokutana nayo najua mwenyew
Acha basi utatuvunja mbavuNilitamani kuwa Infantry Soldier wa JWTZ/TPDF ila nikaishia kuwa Soldier wa Jamiiforums
Kwa hiyo kumbe hicho cheo umejibandika tu?Mwaka 2012 nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ/TPDF ila juhudi zangu hazikuzaa matunda.
Pole sana mkuu,Hii habari inanitoa machozi sana,mwaka 2011 nikiwa mwanza wilaya ya Ilemela ofisi ya mkuu wa wilaya tulipewa interview ya kukimbia kilometa kama kumi hivi na watu tulikuwa wengi sana na waliitajika kama watu 40 hivi,namshukru sana mungu nilikimbia kwenye group letu nilikuwa wa 3 kati ya watu 100.
Tulivyo maliza mbio washindi tukasomwa tukaingia ukumbini wakaanza kukagua vyeti.
Ikafika zamu yangu yule kaimu mkuu wa wilaya alikuwa mama mmoja hivi jina limenitoka aliniambia ukuona fani nyingine hadi uje uku ? Kwanza sura yako na ya cheti haiendani nikajitetea hakunielewa akawambia mgambo Mara moja nitolewe nje na nisionekane pale na vyeti vyangu alinirushia nje nikaokotewa na watu wengine tu.
Kumbuka tumekimbia km 10 kwenda na kurudi miguu ilipasuka na ngozi ya chini imebanduka banduka
Nililia sana baba angu akanichukua kwenye baiskel tukaanza kurudi nyumbani.
Hadi Leo hii ninavyoandika ujumbe huu mkuu wa wilaya ya ilemela 2011 sitokuja kukusahau maisha yangu yote uliniumiza moyo wangu sana.
Mungu ni mwema alinipa kazi nyingine
Ndio mzee baba. Mimi sio mwanajeshi. Hilo jina ni ID tu.Kwa hiyo kumbe hicho cheo umejibandika tu?
Poa mzee baba. That's how life is.Acha basi utatuvunja mbavu
Cheti kilikuwa na shida gani mkuu..Hii habari inanitoa machozi sana,mwaka 2011 nikiwa mwanza wilaya ya Ilemela ofisi ya mkuu wa wilaya tulipewa interview ya kukimbia kilometa kama kumi hivi na watu tulikuwa wengi sana na waliitajika kama watu 40 hivi,namshukru sana mungu nilikimbia kwenye group letu nilikuwa wa 3 kati ya watu 100.
Tulivyo maliza mbio washindi tukasomwa tukaingia ukumbini wakaanza kukagua vyeti.
Ikafika zamu yangu yule kaimu mkuu wa wilaya alikuwa mama mmoja hivi jina limenitoka aliniambia ukuona fani nyingine hadi uje uku ? Kwanza sura yako na ya cheti haiendani nikajitetea hakunielewa akawambia mgambo Mara moja nitolewe nje na nisionekane pale na vyeti vyangu alinirushia nje nikaokotewa na watu wengine tu.
Kumbuka tumekimbia km 10 kwenda na kurudi miguu ilipasuka na ngozi ya chini imebanduka banduka
Nililia sana baba angu akanichukua kwenye baiskel tukaanza kurudi nyumbani.
Hadi Leo hii ninavyoandika ujumbe huu mkuu wa wilaya ya ilemela 2011 sitokuja kukusahau maisha yangu yote uliniumiza moyo wangu sana.
Mungu ni mwema alinipa kazi nyingine
Usiitumie tena, tutakukamata!Ndio mzee baba. Mimi sio mwanajeshi. Hilo jina ni ID tu.