Wale wenye ndoa za Mitala

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
112
Habari zenu wana jamvi. Naomba kuuliza hivi humu kuna walioolewa au kuoa mitala (polygamy)? Naombeni uzoefu wenu tafadhali katika hili. Asanteni.
 
Mwalimu wangu wa hesabu alinidanganya!
Kumbe Polygon ni ndoa ya mitala!!!
Vipi? Mr. anataka kuongeza idadi?
 
Habari zenu wana jamvi. Naomba kuuliza hivi humu kuna walioolewa au kuoa mitala (polygon)? Naombeni uzoefu wenu tafadhali katika hili. Asanteni.

Hahahaaa..
 
Naomba radhi nilikosea nimerekebisha kosa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…