Wale wazinzi zingatieni hili

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,328
Reaction score
1,666
Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu.
Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo;

Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.

Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.

'What goes around comes around'.
 
Swadaqta thuma Swadaqt alf swidq !!!
 
Hiyo inaitwa 'Karma' hehe...
Halafu hata kwenye ulimwengu wa roho jamani kuzini ni vibaya mnooo...
Unaeza beba mabalaa na mikosi usioijua...
Unavyomtamani Mshana ina maana ukimpata mtakuwa mnaangaliana kama picha tu?[emoji1]
 

Science ya wapi
 
Nenda Pemba watu wanaoana ndugu wanakamuana papuchi kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…