Wale wazee "tutashitakiwa MIGA" walipotelea wapi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,058
Huko bungeni Ulaya leo kutawaka moto. Kitini hawatakuwapo Tulia wa Zungu, wala mama yake na taarifa.

Wapenda haki wameshafanya vitu vyao:



Siyo Bora tungeshtakiwa MIGA?

Hivi wale wazee wa kushtakiwa MIGA waliishia wapi?

Tuwakumbuke wazee wa kushtakiwa MIGA:

Etwege
Elitwege
Chillah
Maswa Yetu

Si haba kuongezea na wa kwako, hawa ndugu wamekuwa kimya sana.

Bila shaka kimya kingi kina mshindo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…